Siku chache baada ya ITV kutangaza taarifa ya uhaba wa mbolea ya UREA mkoani Songwe Serikali Kupitia Wizara ya Kilimo imepeleka tani elfu kumi kupita kiasi kilichokuwa kinahitajika ambacho ni tani elfu nane na kumaliza kabisa changamoto hiyo kwa wakulima.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.