Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na shirika la maendeleo la HJRMRI wanawatangazia wananchi wote kampeni ya huduma ya tohara kwa wanaume itakayotolewa bure.
Kampeni hiyo itatolewa katika zahanati ya Iwala wilayani Ileje, kituo cha Afya Mbuyuni wilayani Songwe na katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Songwe (vwawa).
Kampeni hii inaanza tarehe 6 mpaka tarehe 18, mwezi wa 8, 2018 na itatolewa kwa wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 10 na kuendelea, kwa watoto walio chini ya watoto 18 wafike na wazazi wao.
Wahi tohara, pata kinga, kuwa msafi.
Boma Road, Vwawa, Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz
Copyright ©2018 . SONGWE RS.All rights reserved