• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UVUVI

SEKTA YA UVUVI

Uzalishaji wa Samaki

Katika msimu wa mwaka 2016/2017 tani 103.37 za thamani ya Sh. 465,165,000.00 zilizalishwa kwenye maziwa, malambo na mito ya asili. Sehemu kubwa ya uzalishaji huu umechangiwa na ziwa Rukwa, sehemu ndogo kuchangiwa na mabwawa ya taasisi, vikundi na watu binafsi.

Kudhibiti Uvuvi Haramu

Mkoa unafanya doria mara kwa mara pamoja na usimamizi shirikishi kwa kuanzisha Kamati za Usimamizi (BMUs) tano ambazo zimesajiliwa kisheria zilizopo mwambao mwa Ziwa Rukwa ili kusimamia rasilimali za Uvuvi, mazingira na Uvuvi haramu ambapo makokoro 87 yenye thamani ya Sh. milioni 9.2 yalikamatwa, nyavu 13 zenye thamani ya Sh. milioni 6 zilikamatwa na mitumbwi 60 baada ya wavuvi kukimbia, pia elimu inaendelea kutolewa kwa wananchi juu ya ufugaji bora wa samaki katika mabwawa ambapo Mkoa una jumla ya mabwawa 383  .

Matangazo

  • ILEJE DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • MBOZI DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • MOMBA DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • SONGWE DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Dkt. SHEKALAGHE VYUO VYA UFUNDI NA VIKUNDI VYA UJASILIAMALI MBADALA KWA WANAFUNZI AMBAO HAWAJAFAULU

    December 18, 2020
  • Dkt. SHEKALAGHE AZITAKA HALMASHAURI KUTENGA PESA YA UJENZI WA MADARASA KILA MWAKA.

    December 18, 2020
  • SONGWE: WANANCHI WAHIMIZWA KUPIMA UKIMWI KUJUA HALI ZAO KUEPUKA MAAMBUKIZI MAPYA

    December 01, 2020
  • RC MWANGELA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUUZA BIDHAA KWA BEI ELEKEZI

    November 28, 2020
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Boma Road, Vwawa, Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.