• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA CHIKU GALLAWA AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WATU NA MAKAZI KATIKA MKOA WA SONGWE

Posted on: March 27th, 2017

Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa amezindua rasmi zoezi la uandikishaji watu na makazi katika mfumo wa kielektroniki (ePRS) mkoani Songwe.

Mkuu wa mkoa huyo amesema kuwa, katika zoezi hilo jumla ya watu laki 998,000 wanataraji kuandikishwa,  mfumo ambao umenza kwa wakazi laki 414,000 katika kaya 117,000 katika wilaya ya Mbozi.

Amezitaja faida za zoezi hilo kuwa ni pamoja na kusogeza huduma kwa jamii kulingana na idadi yao, na pia itasaidia kuwa na kumbukumbu sahihi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi taifa kwa ujumla.

Mpango huo wa uandikishaji ambao ulianzia majaribio wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani unatarajia kufanyika wilaya zote za mkoa wetu wa Songwe ambapo utafanyika ndani ya siku 29.

Alisema kuwa uandikishaji kidigitali Mkoani Humo umeanza katika Kata 8 kati ya 29 za Wilayani Mbozi ambapo unatarajia kufanyika katika mkoa mzima wa Songwe ili kupata takwimu sahihi za wakazi wa mkoa huo.

Hata hivyo, aliongeza kuwa baada ya kuanza zoezi la Uandikishaji, mambo mengi yamebainika ikiwemo watoto wadogo chini ya miaka 18 kuwa wakuu wa kaya, licha ya zoezi hilo kuwa na mwitikio ni mkubwa.

Mpango huo wa uandikishaji unafadhiliwa na Shirika la kuhudumia watoto Duniani UNICEF  kupitia chuo cha Takwimu cha Afrika Mashariki, kilichopo jijini Dar es salaamu, kazi ambayo inaratibiwa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA MOMBA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 11, 2025
  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI HOJA ZILIZO BAINISHWA KATIKA RIPOTI YA CAG HALMASHAURI YA MBOZI

    June 10, 2025
  • RC CHONGOLO APIONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI

    June 10, 2025
  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.