• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA SONGWE BRIGEDIA JENERALI NICODEMAS E MWANGELA WILAYA YA SONGWE LEO TAREHE 15 AGOSTI, 2018

Posted on: August 16th, 2018
 

    Nia ya ziara hii ya siku mbili wilayani Songwe ni kujitambulisha kwa watumishi na taasisi za Wilaya ya Songwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo - Brigedia Jenerali Mwangela.

  • Nazipongeza taasisi na kampuni mbalimbali ambazo mmeahidi kuendeleza ushirikiano na serikali, wito wangu Wasimame katika ahadi hiyo hiyo hususani ya ushirikiano na serikali katika miradi ya maendeleo inayomgusa mtanzania masikini- Brigedia Jenerali Mwangela.
  • Sekta binafsi, watumishi wa umma tunachohitaji ni kufanya kazi kwa ushirikiano na kuzingatia muda kwakuwa ninaamini bila kufanya hivyo hata kama mna mambo mengi mazuri hamtaweza kufanikiwa- Brigedia Jenerali Mwangela.
  • Nasisitiza watumishi tufanye kazi kwa uadilifu, kwa kujituma, kwa weledi na kwa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na maelekezo mtakayopewa, Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu- Brigedia Jenerali Mwangela.
  • Mkandarasi  Paulo Philipo Paulo wa kampuni Mats Engineering Ltd anayejenga daraja la Kikamba Wilayani Songwe afanye kazi usiku na mchana ili aweze kukamilisha ujenzi wa daraja hilo ifikapo Septemba, 2018 kama ilivyo kwenye mkataba, vifaa vya kufanikisha hilo anavyo na mkoa hautakubali pendekezo la kumuongezea muda wa ujenzi - Brigedia Jenerali Mwangela.
  • Wilaya ya Songwe ina utajiri mkubwa lakini bila ya kuwa na Amani utajiri huu hautakuwa na maana wala faida kwenu- RPC Songwe Mathias Nyange.
  • Kwa kipindi cha Miezi miwili iliyopita Wilaya ya Songwe imeongoza kwa mauaji huku sababu kubwa ikiwa ni Imani za kishirikina, wananchi msiamini Imani hizo zinazopelekea ramli chonganishi maarufu kama lambalamba na kusababisha mauaji hata kati ya ndugu- Brigedia Jenerali Mwangela RPC Songwe Mathias Nyange.
  • Ikitokea tena mauaji yaliyosababishwa na ramli chonganishi au Imani nyingine za kishirikina nitahakikisha naanza kumchukulia hatua mtendaji wa kijiji kwa kuruhusu hao watu kufanya shughuli za aina hiyo kijijini kwake- RPC Songwe Mathias Nyange.

Imetolewa na

Grace Gwamagobe

Afisa Habari

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Songwe

15-8-2018

Matangazo

  • ILEJE DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • MBOZI DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • MOMBA DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • SONGWE DC WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Dkt. SHEKALAGHE VYUO VYA UFUNDI NA VIKUNDI VYA UJASILIAMALI MBADALA KWA WANAFUNZI AMBAO HAWAJAFAULU

    December 18, 2020
  • Dkt. SHEKALAGHE AZITAKA HALMASHAURI KUTENGA PESA YA UJENZI WA MADARASA KILA MWAKA.

    December 18, 2020
  • SONGWE: WANANCHI WAHIMIZWA KUPIMA UKIMWI KUJUA HALI ZAO KUEPUKA MAAMBUKIZI MAPYA

    December 01, 2020
  • RC MWANGELA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUUZA BIDHAA KWA BEI ELEKEZI

    November 28, 2020
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Boma Road, Vwawa, Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.