• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Utawala na Rasilimali Watu

Seksheni hii ina lengo la kuziwezesha Seksheni nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala kwenye Sekretarieti ya Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya Seksheni ya Utawala na Rasilimali watu:

  • kuratibu masuala ya Mahusiano na Ustawi wa Wafanyakazi ikiwa na pamoja na masuala ya Afya, Usalama, Michezo na Utamaduni
  • kuratibu maandalizi, utekelezaji, usimamizi na tathimini ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja kwenye Sekretarieti ya Mkoa
  • kutoa huduma za Masijala, Ofisi na utunzaji na usimamizi wa kumbukumbu
  • kutoa huduma za Kihitifaki/Itifaki katika Mkoa
  • kuratibu huduma za Ulinzi, Usafi na utunzaji Ofisi, majengo na maeneo/viwanja vya ofisi na huduma za Usafiri
  • Kutoa huduma za ujumla za uangalizi wa vifaa vya ofisi na majengo
  • Kuratibu utekelezaji wa jukumu la kuimarisha Nidhamu ikijumuisha utoaji wa elimu ya kuzuia Rushwa.
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala mtambuka kama Jinsia, Ulemavu, HIV/AIDS kwenye Sekretarieti ya Mkoa
  • Kushirikiana na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma – Tume/Sekretarieti ya Ajira juu ya masuala yote yanayohusiana na Ajira na Uteuzi wa watumishi.
  • Kushauri juu ya ufanisi wa kitaasisi wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Kusimamia hatua/Mchakato wa kuwathibitisha na kuwapandisha vyeo/madaraja watumishi wa Mkoa
  • Kuwezesha mafunzo ya rasilimaliwatu na maendeleo (taaluma, weledi, kuboresha ujuzi) kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa
  • Kuwezesha programu za mafunzo elekezi kwa waajiriwa/watumishi wapya
  • Kusimamia Mpango wa Rasilimaliwatu kwa ajili ya kujua upatikanaji na mahitaji ya wataalamu kwenye Sekretarieti ya Mkoa
  • Kusimamia mishahara na kushauri juu ya kusimamia mfumo/orodha ya malipo ya mshahara
  • Kusimamia utekelezaji wa mfumo wa wazi wa mapitio na upimaji wa utendaji wa kazi (OPRAS)
  • Kushughulikia na kuhuisha taarifa za watumishi kama Likizo za mwaka, likizo za uzazi na matibab, ruhusa za mafunzo/masomo na watumishi kuondoka kazini
  • Kuratibu upatikanaji wa mafao ya watumishi (malipo ya pensheni n.k) na madai mengineyo
  • Kushughulikia upatikanaji wa huduma zinazohusiana na watumishi kuondoka kwenye utumishi (kustaafu, kujiuzulu n.k)
  • Kuratibu kamati ndogo ya Ajira na Uteuzi ya Mkoa
  • Kusimamia masuala ya kinidhamu
  • Kuratibu na kushughulikia malalamiko na mashitaka
  • Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa juu ya masuala yanayohusu rasilimaliwatu
  • Kusimamia upatikanaji wa huduma za Habari, Elimu na Mawasiliano kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa
  • kuratibu utekelezaji wa sera ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na sheria nyingine zinazohusiana na Utawala na Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.