Saturday 20th, April 2024
@Mbozi
Kongamano la Vijana aktika Kilimo linafanyika kwa Muda wa Siku Mbili Mkoani Songwe ambapo pia Uzinduzi wa Kitaifa umefanyika tarehe 24-02-2020 na linahitimishwa tarehe 25-02-2020 katika Ukumbi wa Mpende Jirani Uliopo Vwawa Wilaya ya Mbozi kuanzia saa tatu asubuhi.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.