Monday 15th, August 2022
@Tunduma, Songwe
Maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Chakula Duniani yatafanyika Mkoani Songwe katika halmashauri ya Mji wa Tunduma katika Viwanja vya sekondari ya JK Nyerere kuanzia tarehe 10 Oktoba, 2018 mpaka tarehe 16 Oktoba, 2018, wajasirimali, wafanyabiashara, wakulima na taasisi mbalimbali watashiriki kuonyesha bidhaa na huduma mbalimbali za kilimo na chakula.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.