Monday 29th, May 2023
@Ndolezi, Mbozi
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMONDO DUNIANI YATAYAYOFANYIKA MKOANI SONGWE JUNI 30, 2018 KUTAKUWEPO NA MASHINDANO YA HALF MARATHON PAMOJA NA RIADHA KWA UMBALI UFUATAO;
· MITA 100, 400, 800, 1500
· KILOMITA 2 (WATOTO KUANZIA MIAKA 13), KILOMITA 5 NA 21 HALF MARATHON (WATU WAZIMA)
WOTE MNAKARIBISHWA, FOMU ZA USAJILI ZINAPATIKANA KWA SHILINGI ELFU KUMI TU. PIGA NAMBA 0752619166 AU 0759333386 ZAWADI MBALIMBALI ZITATOLEWA.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.