Thursday 8th, June 2023
@Songwe DC
Mhe Mkuu wa Mkoa ( Chiku Gallawa) amefanya ziara katika Halmashauri ya Songwe kata ya Saza na Gua. Amewasisitiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, wachimbaji wadogo kujiunga na vikundi na kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI.Mkuu wa Mkoa Huyo Alifanya Ziara Wilaya Songwe Kwa Siku Mbili.Tarehe 7/2/2018 Mpaka 8/2/2018.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.