Wednesday 11th, September 2024
@Songwe Dc
Mkoa wa Songwe Unatarajia Kupokea Mwenge wa Uhuru Tarehe 31 Agosti, 2024 Katika Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika kijiji cha Ifwenkenya katika shule ya Sekeondari ifwenkenya Ukitokea Mkoani Mbeya, Mwenge wa Uhuru utaanza kukimbizwa katika Halmashauri tano za Mkoa wa Mkoa wa Songwe ukianza na Songwe, Momba, Mbozi, Ileje na kuhitimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Halmashauri ya Mji Tunduma wananchi wote Mnakaribishwa.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.