English
Kiswahili
Wasiliana Nasi
|
MMM
|
Barua pepe
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
MKOA WA SONGWE
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dhamira na Dira
Misingi Mikuu
Mikakati
Utawala
Muundo wa Utawala
Sehemu
Mipango na Uratibu
Idara ya Elimu
Huduma za Maji
Uchumi na Uzalishaji
Utawala na Rasilimali Watu
Afya na Ustawi wa Jamii
Huduma za Serikali za Mitaa
Miundombinu
Vitengo
Huduma za Kisheria
Fedha na Uhasibu
Mkaguzi wa Ndani
Manunuzi na Ugavi
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Wilaya
Mbozi DC
Songwe DC
Momba DC
Ileje DC
Halmashauri
Mbozi
Ileje
Momba
Songwe
Tunduma
Fursa za Uwekezaji
Vivutio vya Utalii
Mifugo
Madini
Kilimo
Biashara
Huduma Zetu
Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
Huduma ya Elimu
Huduma za Maji
Huduma ya Mifugo na Uvuvi
Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
Mipango na Takwimu
Ujenzi
Machapisho
Sheria
Miongozo
Sera
Fomu za Maombi
Utaratibu
Mpango Mkakati
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Video
Hotuba
Maktaba ya Picha
Habari
Matukio
ALICHOZUNGUMZA MKUU WA MKOA WA SONGWE, LT. MSTAAFU CHIKU GALAWA KATIKA KIPINDI CHA TUNATEKELEZA JANA TAREHE 26 MACHI, 2018.
Posted on: March 27th, 2018
Mkoa wa Songwe;
Mazao ya Biashara katika mkoa wetu ni Kahawa, Ndizi, Alizeti.
Pato la Mkoa wetu kwa mkoa wa Songwe ni Trilioni 1.3 kwa mwaka.
Mkoa umefanikiwa kuwa na Kiwanda cha kuchakata mbegu za Kilimo kwa ajili ya wakulima wetu
Tunayo master Plan ya mji wa Tunduma.
Viwanda Vidogo Songwe ni zaidi ya 2000.
Tunashukuru REA kwa kufikisha umeme katika maeneo mengi ya Mkoa wetu.
REA wameahidi kuwa katika mwaka huu wa fedha wataendelea kusambaza umeme katika maeneo ambayo hayajafikiwa.
Mkoa wa Songwe una utajiri wa madini ya ujenzi.
Tunashiriki Kikamilifu kudhibiti mapato ya madini katika mkoa wetu
Tumeagiza kuwa wachimbaji wadogo wajiunge katika vikundi ili wanufaike na mikopo inayotolewa na Serikali.
Wachimbaji wadogo wakijiunga katika vikundi watapatiwa mashine za uchenjuaji na pia wataweza kupatiwa leseni.
Uwepo wa migodi unawanufaisha wakulima na wazalishaji wa mboga na matunda.
Tumepata fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji.
Miradi yenye thamani ya bilioni 5 inaendelea ikilenga kutatua changamoto ya maji katika mkoa wetu.
Tunafanya vizuri katika kupunguza vifo vya akinamama wajawazito.
Upatikanaji wa Dawa ni asilimia 89 katika mkoa wetu.
Tunatarajia kuwa Mkoa wa mfano kwa kuwa na zahanati nyingi zaidi.
Tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli kwa kuleta Sera ya elimu bure kwani imesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa.
Tumefanikiwa kuwa na Kiwanda cha Kusindika Alizeti ili kuzalisha mafuta.
Matangazo
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
December 04, 2024
Angalia zote
Habari Mpya
KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.
November 07, 2024
MRADI WA MAJI MWANSYANA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI KWA MJI WA VWAWA NA MLOWO
November 04, 2024
RAS SENEDA AKUTANA NA MAMA JANETH MAGUFULI
September 18, 2024
MKOA WA SONGWE WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.
September 19, 2024
Angalia zote