• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ALIYOSEMA MKUU WA MKOA SONGWE CHIKU GALLAWA KATIKA ZIARA YAKE WILAYA YA SONGWE.

Posted on: April 9th, 2018
  •  Pato la Mwananchi wa Songwe kwa mwaka ni laki nane na nusu, tunataka kufikia 2020 ifikie milioni 3 na kufikia 2025 ifikie milioni 7.
  • Malengo haya sio maneno lazima tufanikiwe hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe ahakikishe anaweka mikakati ya haraka na inayotekelezeka pamoja na kuteua timu itakayofanikisha kufikika malengo hayo.
  • Mkoa wa Songwe ni Mkoa wenye fursa na utajiri mwingi pamoja na watendaji tulionao wana akili nyingi tu tatizo wameshindwa kuzitumia vizuri kwa ajili ya kubuni maendeleo ya wananchi wetu.
  • Mtumishi wa umma asiyetekeleza majukumu yake ni sawa na mwizi anayeiibia serikali fedha kwakuwa analipwa mshahara kwa kazi ambayo hajaifanya, hivyo Mkurugenzi wa Songwe aingie Mkataba na wakuu wa idara, waonyeshe mipango yao ya kazi itakayoleta maendeleo na endapo watashindwa kutekeleza yaliyomo kwenye mikataba yao basi hao hawatufai, watupishe.
  • Mfumo wa upimaji wa utendaji wa watumishi kwa kutumia Opras bado haujaleta tija ndio maana tunataka mikataba ambayo itaondoa mazoea ya kuwa kazi za serikalini ni za kudumu bali tunaangalia utendaji wenye tija.
  • Hakuna mtumishi yeyote kutoka nje ya kituo cha kazi bila ruhusa ya Mkurugenzi, tunataka nidhamu katika utumishi wa umma kwakuwa maendeleo hayawezi kuja bila ya kuwa na nidhamu.
  • Timu ya kuhakikisha viwanda vinaundwa ijumuishe afisa Maendeleo ya jamii, afisa biashara, afisa uwekezaji na Afisa Vijana, hawa wakifanya kazi yao vizuri tutafikia uchumi wa viwanda.
  • Timu hiyo itembelee vikundi vyote, vikundi vyenye mwelekeo wa kuwa na viwanda viwezeshwe kwa kuandaliwa andiko la mradi, semina na mafunzo ya ushirika, masoko na mikopo itakayokuza mitaji yao na kuviwezesha vikundi kuanzisha viwanda.
  • Mikopo itakayotolewa kwenye vikundi iwe msaada wa kukuza vikundi hivyo na sio kuviongezea madeni, timu hiyo isikae ofisini itembelee kila kikundi.
  • Mkurugenzi atenge eneo la viwanda, lipimwe pamoja na kuhakikisha miundombinu muhimu kama umeme inafika eneo hilo ili wajasiriamali na wenye vikundi wote ambao wana viwanda wawe katima eneo linalotambulika.

Wakuu wa Idara wa halmashauri ya Wilaya ya Songwe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa alipokuwa akizungumza nao kabla hajaanza ziara.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.