• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ANDENGENYE KUTOA USHIRIKIANO AJIRA ZA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Posted on: November 6th, 2019

  Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye ameahidi kutoa ushirikiano katika kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli la kutoa ajira kwa vijana wazalendo waliopanda Mlima Kilimanjaro.

Andengenye ametoa ahadi hiyo mapema leo kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela alipofika ofisini kwake ikiwa ni sehemu ya ziara yake Mkoani Songwe kukagua utendaji wa jeshi hilo Mkoani hapa.

 “Suala la ajira za vijana wazalendo waliopanda Mlima Kilimanjaro ili kumuenzi Baba wa Taifa Hayati JK Nyerere kwa sasa linashughulikiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu na watakaponiletea majina niko tayari kutoa ushirikiano.”, amesema Andengenye.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amesema wakati wa kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru kilichofanyika Mkoani Lindi Oktoba 14, 2019 Mhe Rais aliagiza Vijana wazalendo ambao walipanda mlima Kilimanjaro na hawana ajira waangalie namna ya kuajiriwa.

“Tutashukuru sana endapo vijana wetu hawa wazalendo watafanikiwa kupata Ajira, Nchi nzima walipanda vijana 84 kwetu Songwe tulitoa vijana 21 kati yao vijana ambao hawana ajira ni vijana sita kutoka Songwe.”, amesema Brig. Jen. Mwangela.

Wakati huo huo Andengenye amesema kuna mikakati ya kitaifa ya kuboresha utendaji wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji na katika Mikakati hiyo Mikoa mipya kama Songwe itapewa kipaumbele hasa katika kuongezewa vifaa na watendaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.