Katibu Mwenezi Wa Chama Cha Mapinduzi Mh;Humphey Pole Pole Atembelea Mkoa Wa Songwe Wilaya Za Momba na Tunduma TC kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo kwa wananchi ya Serikali ya awamu ya Tano ya Mh: Rais wa Watanzania Dr.John Joseph Pombe Magufuli leo tarehe 2 March 2018.Ikiwa ni katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2015.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.