ILEJE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amezitaka Halmashauri kupeleka 40% ya maendeleo kwenye miradi yake na sio kuchanganya na ya Serikali Kuu."Serikali Kuu ikileta fedha kwenye Kata moja na Halmashauri ipeleke fedha kwenye Kata nyingine ili kuweza kugawa rasilimali vizuri na sio mradi moja Serikali Kuu imeleta fedha hapo na Halmashauri nayo inapeleka hapo hapo" Omary MgumbaMkuu wa Mkoa amesema hataki kuona Darasa moja linajengwa na Serikali Kuu pamoja na Halmashauri.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.