• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASILI KUANZA MAJUKUMU YAKE

Posted on: March 18th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo amewasili  Mkoa wa Songwe kuanza majukumu yake ambapo ametembelea katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe.

Mhe. Chongolo amewasili katika ofisi za CCM Mkoa leo Jumatatu Machi 18, 2024 na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda na viongozi wa Chama wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Songwe, ndugu ndugu said Kineng'ena

Akizungumza katika ofisi hizo za CCM Mkoa, Mhe. Chongolo amesema "Tangia juzi nilipo apa nimekuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya Mkoa wa Songwe nimesha wasili Songwe na nipo tayari kwaajili ya kuanza kazi,

"Lakini pia nimepewa dhamana ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwa maana ya kuratibu na kusimamia Ilani ya CCM ya 2020-2025, hivyo msiwe na wasiwasi tutajifunza wote na matokeo tutapimana mwishoni pamoja" amesema Chongolo na kuongeza;

"Kikubwa naomba ushirikiano wenuna tuseme ukweli kwa kila jambo, tukiwa wakweli tutayaona matokeo na yenye tija" amesisitiza

Baada ya kuwasili, Mhe. Chongolo anatembelea taasisi mbalimbali za Serikali katika Mkoa huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.