Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda amekutana na mke wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Hayati John Magufuli, Janeth Magufuli
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Bi. Seneda amekutana na mama Janeth leo Jumatano Septemba 18, 2024 wakati alipowasili Mkoani Songwe kwa ajili ya kuhani msiba wa ndugu yake katika Mji wa Mlowo wilayani Mbozi.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.