• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC CHONGOLO APIONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI

Posted on: June 10th, 2025

RC CHONGOLO APONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI


Ileje, 10 Juni 2025 – Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Daniel Chongolo, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa kupata hati safi kutoka kwa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali.

Mhe. Chongolo alitoa pongezi hizo leo tarehe 10 Juni 2025, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwa ajili ya kujadili hoja za Mkaguzi.

Kikao hicho kilihusisha wajumbe wa Baraza la Madiwani, wataalamu wa Halmashauri, pamoja na wajumbe wa Kamati ya Usalama kutoka ngazi ya Mkoa na Halmashauri.

Mkuu wa Mkoa aliipongeza Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na uwajibikaji, akisema kuwa hatua hiyo ni kielelezo cha uwazi na uadilifu katika utendaji kazi wa Serikali za Mitaa.

Aidha, aliwataka viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Ileje kuendelea kushikilia viwango vya juu vya uwajibikaji na kuhakikisha kuwa mapendekezo yote yaliyotolewa na Mkaguzi yanatekelezwa kwa wakati.

Kwa upande wao, madiwani na viongozi wa Halmashauri walimshukuru Mkuu wa Mkoa na usimamizi makini, na kuahidi kuendelea kushirikiana kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Ileje.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA MOMBA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 11, 2025
  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI HOJA ZILIZO BAINISHWA KATIKA RIPOTI YA CAG HALMASHAURI YA MBOZI

    June 10, 2025
  • RC CHONGOLO APIONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI

    June 10, 2025
  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.