• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SIKU 100 ZA TABASAMU SONGWE RC MAKAME AZINDUA MFUMO WA KIDIJITALI “SONGWE SERIKALI KIGANJANI”.

Posted on: February 7th, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame, leo tarehe 07 Februari 2026 amefanya utambulisho wa mfumo wa kidijitali unaojulikana kama “Songwe Serikali Kiganjani”, mfumo unaolenga kusogeza huduma za Serikali karibu zaidi na wananchi kwa njia ya teknolojia ya kidijitali.


Akizungumza wakati wa tukio hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Moravian, Vwawa, wilayani Mbozi, Mhe. Makame amesema kuwa mfumo huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za siku mia moja (100) za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha matumizi ya TEHAMA ndani ya Serikali na kuongeza uwazi, uwajibikaji pamoja na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.


Ameeleza kuwa kupitia mfumo wa “Songwe Serikali Kiganjani”, wananchi wataweza kupata taarifa muhimu za Serikali, kufuatilia huduma mbalimbali pamoja na kutoa maoni na mapendekezo yao kwa urahisi zaidi, hatua itakayosaidia kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wananchi.

Mhe. Makame amewataka wananchi wa Mkoa wa Songwe kuutumia mfumo huo ipasavyo ili kunufaika na fursa za kidijitali zinazotolewa na Serikali, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni uthibitisho wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa vitendo.


Kwa ujumla, utambulisho wa mfumo wa “Songwe Serikali Kiganjani” unaonesha wazi kuwa Serikali inaendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA TABASAMU SONGWE RC MAKAME AZINDUA MFUMO WA KIDIJITALI “SONGWE SERIKALI KIGANJANI”.

    February 07, 2026
  • RC MAKAME APONGEZA UTENDAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA ASEMA NI NGUZO YA MAENDELEO

    February 02, 2026
  • RC MAKAME AONGOZA JUKWA LA WADAU WA KILIMO MKOANI SONGWE.

    November 19, 2025
  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA MOMBA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.