• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SONGWE KUONGEZA UKAGUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA

Posted on: June 29th, 2021

Mkoa wa Songwe umeweka msisitizo katika Ukaguzi wa Madawa na vifaa tiba ili kudhibiti dawa na vifaa tiba ambavyo havipo sokoni au havija sajiliwa kuwafikia watumiaji.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Hamad Nyembea ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wakaguzi wa dawa na vifaa tiba wa halmashauri zote za Mkoa wa Songwe ambapo mafunzo hayo yameendeshwa na wataalamu kutoka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)

Dkt Nyembea amesema Mkoa wa Songwe unapakana na Nchi mbalimbali na hivyo kuwa na njia ambazo si rasmi zinazotumiwa na wahalifu kuingiza nchini Dawa na Vifaa tiba ambavyo havijasajiliwa au havipo.

“Mafunzo haya yatasaidia kuimarisha ukaguzi wa dawa na vifaa visivyofaa visizagae sokoni na hivyo kuleta madhara kwa watumiaji”., Dkt Nyembea.

Kaimu Meneja wa TMDA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Anitha Mshigati amesema katika mafunzo hayo wakaguzi watakumbushwa maadili ya Ukaguzi ili waweze kuboresha kazi hiyo kwa kufuata taratibu na sharia na matarajio ni kuwa baada ya mafunzo kazi hiyo itafanyika na kuleta tija zaidi.

Naye Mtaalamu wa Maabara wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Ashura Mwinyimkuu amesema changamoto wanazo kutana nazo ni jamii kutokuwa na elimu kuhusu ukaguzi hivyo kushindwa kutoa ushirikiano na mafunzo waliyopata yamewaongezea ujuzi wa namna ya kukabiliana na hilo.

Kwau upande wake Mfamasia  wa Songwe Medard Mwazembe amesema changamoto ya wakaguzi ni ukubwa wa maeneo ya kufanya ukaguzi huku wakiwa hawana vifaa vya usafiri hivyo wanaomba TMDA kwa kushirikiana na Mkoa kutoa elimu kwa viongozi wa Kijiji na Kata ili viongozi hao waweze kusaidia kutoa elimu katika maeneo yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.