• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUTAFANYA KAZI NA WADAU WOTE KUTIMIZA LENGO LA SERIKALI: RC MICHAEL.

Posted on: March 2nd, 2023

TUTAFANYA KAZI NA WADAU WOTE KUTIMIZA LENGO LA SERIKALI: RC MICHAEL.


SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael amesema Serikali ya Mkoa itahakikisha inafanya kazi na wadau wote wa maendeleo waliopo mkoani ili kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Songwe.


Mhe. Dkt. Francis Michael amesema hayo alipowasili leo 2 Machi 2023 Songwe na kupiga hodi Ofisi za CCM na kuteta na viongozi wa Chama pamoja na kiongozi wa Mila Mkoa Chifu Muleshelwa Nzunda kwa nyakati tofauti.


"Nimekuja Songwe na kupiga hodi Chama cha Mapinduzi kwani sisi Serikali tunatekeleza Ilani ya CCM hivyo ilikuwa ni lazima kwanza nifike hapa kabla ya kuanza kazi na kuja hapa kwa kiongozi wa Mila hii ni hatua ya kwanza kabisa ila tutakutana na wadau wote wa maendeleo wa Mkoa huu" Mhe. Dkt. Francis Michael.


Kiongozi wa Kimila Mkoa wa Songwe, Chifu Muleshelwa Nzunda ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Mkoa amesema amepokea kwa furaha kubwa kwa mara ya kwanza Mkuu wa Mkoa mpya kufika nyumbani kwake kabla ya kuanza majukumu yake ya kiserikali, kwa kweli nimefurai sana.


Sisi viongozi wa Kimila ni kiungo wa Serikali tutaendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali, tunamuombea kwa Mungu Mkuu wa Mkoa, Dkt. Francis Michael afanye kazi kwa usalama, amesema Chifu Muleshelwa Nzunda.


Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Easter Mahawe akiongea kwa niaba ya wakuu wa Wilaya za Mkoa amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kutoa ushirikiano wa kutosha kwake ili kufikia malengo ya Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Ndg. Radwell Mwampashi amempongeza Mkuu wa Mkoa kwa kuaminiwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiongoza Songwe.


MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI DATA CLEARK, CLINICIAN NA NURSE October 01, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANAWAKE WAGUSA MAISHA YA WATU WENYE WAHITAJI

    March 08, 2023
  • WITO WATOLEWA WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO.

    March 06, 2023
  • NIMEKUJA KUBORESHA MAZURI YOTE, RC MICHAEL.

    March 03, 2023
  • TUTAFANYA KAZI NA WADAU WOTE KUTIMIZA LENGO LA SERIKALI: RC MICHAEL.

    March 02, 2023
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras.songwe@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.