Utanuzi wa Kituo cha afya mbuyuni fedha ni Tsh 400milion. Kitajenga majengo yafuatayo theatre, wodi mbili za akina mama na wanaume, wodi ya uzazi (maternity) mortuary na nyumba mbili za watumishi. Kwa kutumia force account. Hali ya Ujenzi wameshachimba Msingi na kumwaga zege kule chin ya Msingi huku wakiwa wanasubir tofali zifyatuliwe. . Shughuli zingine wamebeba mchanga na mawe kazi zinaendelea.Hii ni katika kutekeleza Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi.Fedha hizi zimetolewa na Serikali Kuu.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.