Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Novemba 22, 2023, amewasili Mkoani Songwe kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine atakagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye sekta za afya, elimu, maji na barabara katika Wilaya ya Ileje na Mbozi
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.