• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

YALIYOJIRI LEO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUZUIA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA WATOTO WACHANGA MKOA WA SONGWE

Posted on: February 8th, 2019
  •   Mkoa wa Songwe umeamua kutokomeza vifo vitokanavyo na Uzazi na Vifo vya watoto wachanga kupitia kampeni ya Jiongeze tuwavushe Salama, maneno basi, sasa vitendo – Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Takwimu zinaonyesha kuwa bado hatufanyi vizuri katika kutokomeza vifo vya akina mama wajawazito ambapo mwaka 2016 vifo vitokanavyo na uzazi vilikua 26,  huku mwaka 2017 vikiwa 27 na mwaka 2018 ni 32 - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Baadhi ya sababu za vifo hivyo vya akina mama wajawazito ni pamoja na kutoka damu nyingi wakati wa kujifungua, kifafa cha mimba, maambukizi ya VVU, upungufu wa damu na kuharibu mimba - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Wakuu wa Wilaya wakisimama vema na kuwawajibisha watendaji walioko chini yao tutaweza kupunguza vifo hivi pia wataalamu wa tiba, familia na wananchi wahakikishe mama mjazito anapumzika, anapata chakula kinachostahili na elimu ya masuala ya uzazi - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Mkoa unayo kazi kubwa ya kutokomeza vifo hivi na leo tumezindua kampeni hii ambapo wakuu wa Wilaya zote Mkoani Songwe wame saini hati ya makubaliano ya kutoa kipaumbele katika Afya ya Uzazi na Mtoto - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Makubaliano hayo yanalenga kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto, kuwezesha asilimia 50 ya vituo vya Afya kutoa huduma ya upasuaji wa akina mama wajawazito na huduma ya damu salama - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
  • Kampeni inalenga maeneo tisa ikiwa ni pamoja na kutoa huduma rafiki kwa vijana, elimu na ushauri nasaha, vipimo na matibabu stahiki na kuhakikisha mama mjamzito anajifungulia katika kituo ambacho kina wataalamu wenye ujuzi, vifaa tiba muhimu na dawa- Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Kheri Kagya.
  • Maeneo mengine ni huduma za dharura kwa matatizi yatokanayo na uzazi, damu salama nay a kutosha, ushirikishwaji wa jamii, taarifa ya kifo cha uzazi na mtoto mchanga pamoja na huduma za rufaa - Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Kheri Kagya.
  • Mikakati iliyowekwa ili kufikia malengo hayo imelenga kuboresha huduma kabla ya ujauzito, wakati wa ujauzito, huduma kwa mtoto mchanga, huduma baada ya kujifungua na huduma kwa vijana - Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Kheri Kagya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.