• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZAIDI YA MILIONI 200 ZAOKOLEWA NA TAKUKURU SONGWE

Posted on: March 14th, 2020

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imeokoa jumla ya shilingi milioni 225.25 fedha mbichi za mapato ya ndani pamoja na fedha za Vyama vya Ushirika.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Songwe Damas Suta amekabidhi fedha zilizookolewa kwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe jana na kuongeza kuwa fedha mbichi ni zile ambazo zilikusanywa na watendaji kisha hawa kuziwasilisha na za Vyama vya Ushirika ni madeni ya muda mrefu.

Suta amesema shilingi milioni 150.8 zimetoka kwa watendaji walio kusanya mapato ya ndani kutoka katika halmashauri tano za Mkoa wa Songwe kisha fedha hizo hazikuwekwa katika akaunti za halmashauri kama inavyotakiwa  huku shilingi milioni 74.4 na mizani 17 zikiwa ni mali za Vyama vya ushirika ambapo yalikua madeni ya muda mrefu yasiyolipika.

Amesema licha ya kuwa ni jukumu la TAKUKURU Kufuatilia matumizi ya mali za umma endapo yapo sahihi, mnamo February 2020 Mkuu wa Mkoa wa Songwe aliwaagiza kufuatilia mapato ya halmashauri zote za Mkoani hapa yanayokusanywa kwa mashine za POS lakini pia Novemba 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliwaagiza kurudisha madeni na mali za vyama vya ushirika zilizopo katika mikono ya watu binafsi.

Suta ameongeza kwa kuwakumbusha viongozi wa halmashauri wenye dhamana ya kusimamia mapato wahakikishe wanatekeleza jukumu hilo bila kusuasua wala uoga huku akitoa wito kwa wakusanya mapato ya serikali kutekeleza majukumu yao kwa uaminifu na kwa kufata taratibu na sheria zilizo wekwa.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila ameipongeza TAKUKURU kwa kazi ya uokoaji wa fedha hizo na kuongeza kuwa upotevu wa fedha za makusanyo ya ndani ya halmasahuri sio changamoto ya Mkoa wa Songwe pekee isipokuwa Songwe imeamua kufanya kazi kwa uwazi Zaidi.

Kafulila amesema, “ingewezekana haya ya kuokoa fedha yakafanyika bila ya wananchi kujua ila sisi Songwe tumeamua wananchi wa Songwe lazima wafahamu masuala ya fedha za Umma na kama kuna kasoro zimetatuliwa vipi na kimsingi hizi ni zama za kumuonyesha Mwananchi kila penye kasoro pame tatuliwaje na sisi Songwe tutafanya kazi kwa uwazi katika hatua zote”.

Ameongeza kuwa tathimini ya Kasoro za kwenye mfumo wa mashine za kukusanyia mapato (POS) itafanyika kwakuwa baadhi zilionyesha kuna watu wanadaiwa fedha nyingi kuliko uhalisia ila baada ya tathmini endapo kuna watakaobainika kuwa bado wanadaiwa fedha TAKUKURU iendelee kuwachukulia hatua.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.