ZIARA YA KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO MKOANI SONGWE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel alifanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Songwe ambapo alikutana na Wataalam wa Sekretarieti ya Mkoa, Maafisa Utamaduni wa Halmashauri za Mkoa, Chifu wa Wanyamwanga Chifu Chipansya Makandi Mkoma VI kutoka Wilaya ya Momba na Mwenyekiti wa Mila na Mwakilishi wa Chifu wa Wabungu Bruno Kazunda kutoka Wilaya ya Songwe
Katika ziara hiyo Katibu mkuu alitoa maagizo yafuatayo:-
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.