Posted on: May 13th, 2017
Mkoa wa Songwe umeamua kuhamia digitali kwa kuachana na matumizi ya Makabrasha na badala yake kutumia simu (Tablets). akizungumza wakati akikabidhi vitendea kazi hivyo kwa Waheshimiwa wa Halmashauri y...
Posted on: April 14th, 2017
Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Mkoa wa Songwe zilianza Aprili 11, 2017 katika Wilaya ya Momba ambapo miradi 18 iliwekwa Mawe ya Msingi na kuzinduiliwa kati ya miradi hiyo 7 ilikuwa katika H...
Posted on: March 27th, 2017
Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa amezindua rasmi zoezi la uandikishaji watu na makazi katika mfumo wa kielektroniki (ePRS) mkoani Songwe.
Mkuu wa mkoa huyo amesema kuwa, katika zoezi hilo jumla ...