Posted on: March 18th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo amewasili Mkoa wa Songwe kuanza majukumu yake ambapo ametembelea katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe.
Mhe. Chongolo amewasili...
Posted on: March 13th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan akimwapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo Mkuu wa Mkoa wa Songwe
...
Posted on: March 7th, 2024
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (MCC) akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Riziki Kingwande (MNEC) wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe kwaajili ya Maadhi...