Posted on: June 13th, 2021
MAPATO YA NDANI YAENDE KWENYE MIRADI YAKE ZISICHANGANYWE NA ZA SERIKALI KUU, RC MGUMBA.
ILEJE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amezitaka Halmashauri kupeleka 40% ya maendeleo kwenye miradi yak...
Posted on: June 13th, 2021
MTENDAJI UKITOA FEDHA IWE KWA MAANDISHI, RC MGUMBA.
ILEJE: Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya watendaji wa vijiji na Kata kula fedha mbichi kwenye Halmashauri na baadhi ya maeneo inaonekana kuwa...
Posted on: May 31st, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Omary Mgumba amezitaka Halmashauri za Songwe kutumia mapato ya ndani kutatua shida za wananchi katika kuwasogezea jirani huduma za jamii kwa kutekeleza miradi.
Wito huo...