Posted on: May 31st, 2021
"Mkoa wa Songwe umekuwa ukifanya vizuri kwenye Kilimo hadi kushika nafasi 3 kitaifa, kutokana na fursa ya soko la mafuta ya kula hapa Tanzania ni vyema wakulima waanze kulima zao la Alzeti kwani soko ...
Posted on: April 29th, 2021
Serikali ya Indonesia imekiri kuvutiwa na fursa za uwekezaji zilizopo katika Mkoa wa Songwe, hususani kwenye sekta za kilimo, Madini, Biashara na Bandari kavu, ambapo imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza...
Posted on: April 28th, 2021
Mkoa wa Songwe umefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama wajawazito kutokana na ongezeko la vituo vinavyotoa huduma ya mama na motto kutoka 156 mwaka 2018 hadi kufikia vituo 185 kwa mwaka 2021 i...