Posted on: April 11th, 2021
Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewaasa wanufaika wa mfuko wa jamii wa kuwezesha kaya masikini (TASAF) kutozitumia fedha wanazopat...
Posted on: April 1st, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa siku 14 kwa kampuni Tanzu ya TANESCO, ETDCO kukamilisha ujenzi wa laini kuu ya umeme Mkoani hapa.
Brig. Jen. Mwangela ametoa agizo hilo w...
Posted on: March 31st, 2021
Barabara ya Mpemba Isongole iliyopo Wilaya ya Momba na Ileje yenye Urefu wa kilomita 59.1 imekamilika kwa asilimia 98 na wananchi wameanza kuitumia.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig.Jen.Nicodemus Mwange...