Posted on: November 16th, 2020
SONGWE: RAS SHEKALAGHE: KUTATUA CHANGAMOTO ZILIZOPO HOSPITALI TEULE NA HOSPITALI MPYA YA MKOA ITAKAPOANZA.
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, Dr. Self Shekalaghe ameuagiza uongozi wa Hospitali Teule ya ...
Posted on: July 22nd, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Dkt Seif Abdallah Shekalaghe amewasili rasmi leo katika ofisi za Mkoa wa Songwe na kupokelewa na viongozi mbalimbali pamoja na watumishi wa ofisi hiyo.
Mara baada ya Ma...
Posted on: July 17th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela mapema leo amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara...