Posted on: May 9th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewataka wafanyabiashara na watumiaji wa soko la Halmashauri ya Mji Tunduma kuzingatia uvaaji wa barakoa ili kujilinda na kuwalinda watu wengine d...
Posted on: May 7th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewataka wadau kwa kushirikiana na serikali waendelee kutoa msaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwani bado wengi hawajafikiwa.
...
Posted on: May 6th, 2020
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje walio tumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shilingi milioni 22.083 wametakiwa kuzirudisha ndani ya siku tatu huku Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rush...