Posted on: February 11th, 2020
Wizara ya Mifugo na uvuvi imewataka Wafugaji wa ng'ombe wilayani Momba mkoani Songwe kuboresha mbegu za mifugo yao kwa kununua mbegu bora za Ng'ombe zitakazo ongeza kipato chao ukilinganisha na ...
Posted on: February 5th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ameagiza Afisa wa Jeshi la Polisi wa Tunduma aliyekamatwa na gari alilomiliki kwa njia za magendo, achukuliwe hatua za kisheria haraka.
Brig. Je...
Posted on: December 10th, 2019
Wafungwa 96 Mkoani Songwe wamekuwa miongoni mwa wafungwa Zaidi ya 5000 waliopatiwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kufuatia maadhimisho ya miaka 58 ya...