Posted on: October 6th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli leo amezindua barabara yenye kiwango cha lami ya Tunduma-Sumbawanga yenye urefu wa Kilomita 223.2.
Rais Dkt Magufuli ame...
Posted on: October 5th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wamekutana leo na kuzindua kituo cha huduma za pamoja cha Tunduma-Nakonde.
Uzinduzi wa kit...
Posted on: October 4th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameanza ziara ya siku mbili katika Mkoa wa Songwe ambapo ameonyesha kuridhishwa na kasi ya maendeleo katika Mkoa huu licha ya kuw...