Posted on: August 31st, 2019
Wanafunzi wawili kutoka Wilayani Songwe wanatarajiwa kupewa nafasi ya Kupanda Mlima Kilimanjaro mwezi ujao ikiwa ni sehemu ya Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha baba Taifa hayati J. K. Nyerere ...
Posted on: August 28th, 2019
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Songwe Eliniko Mkola amewapiga marufuku viongozi wa Chama hicho Mkoani Songwe kutoa vitisho vya aina yoyote kwa Watumishi wa Serikali Mkoani hapa....
Posted on: July 16th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela ameutaka Uongozi wa Wilaya ya Songwe Kuongeza jitihada na nguvu Zaidi katika kukamilisha ujenzi wa Vituo vya Afya vya Magamba na Mbuy...