Posted on: February 10th, 2019
Mkoa wa Songwe umekuwa ukiongoza kitaifa hadi kufikia Desemba 2018 kwa kuwa na asilimia 76.4 ya kaya zilizojiunga na Mfuko wa Afya ya jamii uliopita (CHF) yaani kaya 198,376- Mkuu wa Mkoa wa...
Posted on: February 8th, 2019
Mkoa wa Songwe umeamua kutokomeza vifo vitokanavyo na Uzazi na Vifo vya watoto wachanga kupitia kampeni ya Jiongeze tuwavushe Salama, maneno basi, sasa vitendo – Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig....
Posted on: February 7th, 2019
Wavuvi na wachimba madini wadogowadogo wamepewa muda wa siku nane kuchukua vitambulisho vitakavyo wawezesha kutambulika rasmi kama wajasiriamali wadogo wadogo ili waweze kufanya shughuli ...