• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Manunuzi na Ugavi

Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi Mkuu ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

  • Kushauri uongozi juu ya masuala yanayohusiana na manunuzi ya bidhaa na huduma na mchakato mzima wa kusimamia na kudhibiti mwenendo wa bidhaa na huduma katika Mkoa.
  • Kuhakikisha kwamba Mkoa unafuata/unatii taratibu za manunuzi kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma
  • Kuandaa na kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Mwaka wa Manunuzi kwa ajili ya Mkoa
  • Kununua, kuhifadhi na kusimamia usambazaji, vifaa na huduma mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya bidhaa na huduma hizo kwenye Mkoa
  • Kuhakikisha kunakuwepo na utunzaji, uhifadhi sahihi na usambazaji wa mahitaji ya ofisi wa kutosheleza na kwa wakati
  • Kutunza na Kuboresha kumbukumbu ya vifaa na rasilimali za serikali/za ofisi
  • Kushughulikia uratibu wa kikao cha bodi ya manunuzi ya Mkoa kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
  • Kuteketeza vifaa/vitu ambavyo havihitajiki

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE MHE. FARIDA MGOMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA AFUNGUA HUDUMA YA WIKI YA SHERIA MKOANI SONGWE

    January 25, 2025
  • TASAF MKOA WA SONGWE IMEFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI NA KUJIONEA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANUFAIKA WA TASAF MOMBA

    January 03, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO MKOANI SONGWE.

    November 07, 2024
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.