• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SEKTA YA MADINI KUIFUNGUA ZAIDI WILAYA YA SONGWE.

Posted on: September 28th, 2022

SEKTA YA MADINI KUIFUNGUA ZAIDI WILAYA YA SONGWE.

SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Fack Lulandala akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe amekutana na watendaji wa Kampuni ya Noble Helium Limited inayofanya shughuli za utafiti wa gesi ya helium.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Justyn Wood amesema utafiti kwa Mkoa wa Songwe utafanyika katika Wilaya ya Songwe kwenye kijiji cha Some Kata ya Gua pamoja na kwenye pori la Piti na lukwati.

Mhe. Fack Lulandala amesema Serikali ya Mkoa na Wilaya itatoa ushirikiano wa hali na mali ili kufanikisha utafiti wa gesi ya helium.

Pia, Mhe. Fack Lulandala amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Noble Helium, Justyn Wood kitabu cha fursa za uwekezaji zilizopo Songwe ili awe barozi kwa wenzake kwa ajili ya uwekezaji Mkoa wa Songwe.

Edwin Mremi Afisa anayeshughulikia mambo ya jamii amesema utafiti utakapoanza wananchi ambao wanaishi jirani watanufaika na fursa mbalimbali za ajira ambazo zitatolewa na Kampuni hiyo kipindi cha utafiti.

Pia, Mremi amesema Kampuni itasaidiana na Serikali kutatua baadhi ya changamoto katika huduma za jamii kwenye vijiji ambavyo mradi utafanyika.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA MOMBA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 11, 2025
  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI HOJA ZILIZO BAINISHWA KATIKA RIPOTI YA CAG HALMASHAURI YA MBOZI

    June 10, 2025
  • RC CHONGOLO APIONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI

    June 10, 2025
  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.