• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
SONGWE REGION
SONGWE REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MKOA WA SONGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Sehemu
      • Mipango na Uratibu
      • Idara ya Elimu
      • Huduma za Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Wilaya
    • Mbozi DC
    • Songwe DC
    • Momba DC
    • Ileje DC
  • Halmashauri
    • Mbozi
    • Ileje
    • Momba
    • Songwe
    • Tunduma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Mifugo
    • Madini
    • Kilimo
    • Biashara
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya na Ustawi Wa Jamii
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma ya Mifugo na Uvuvi
    • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
    • Mipango na Takwimu
    • Ujenzi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DKT. TULIA KUZINDUA UNUNUZI WA TIMU YA SOKA YA MKOA WA SONGWE

Posted on: March 5th, 2020

  Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson anatarajiwa kufanya uzinduzi wa Line maalumu itakayotumika kuchangia ununuzi wa timu ya Mpira wa Miguu inayocheza ligi kuu itakayomilikiwa na Mkoa wa Songwe.

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila amesema uzinduzi huo unatarajia kufanyika Jumamosi Machi 07, 2020 katika Ukumbi wa Mpende Jirani ulioko Vwawa Wilaya ya Mbozi.

Kafulila amesema uchangiaji huo utawafanya wananchi kuwa sehemu ya wamiliki wa timu hiyo kwani unapochangia unakuwa umenunua hisa ambayo hisa moja ni shilingi elfu moja na kima cha chini cha hisa ni hisa kumi.

Ameongeza kuwa matarajio ya Mkoa ni kuwa timu hiyo itasaidia kukuza vipaji vya vijana hususani kwa wanafunzi wa sekondari wanao shiriki mashindano ya Umiseta waliopo Mkoa wa Songwe ambao wanafanya vizuri katika Soka pia timu hiyo itaweza kuongeza ajira.

Kafulila amesema hapo zamani kulikuwa na timu ya mpira wa miguu ambayo ilifanya vizuri Wilaya ya Mbozi hivyo ni wakati sasa wa kuwa na timu nyingine ambayo itasaidia kukuza vipaji na kuutangaza Mkoa wa Songwe.

Ameongeza kuwa wananchi wote na wadau wa michezo wafike siku ya uzinduzi kwani kutakuwa na majadiliano na taarifa mbalimbali zitatolewa ili kuwezesha Mkoa kumiliki timu ya mpira wa miguu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 30, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA MOMBA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 11, 2025
  • RC CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI HOJA ZILIZO BAINISHWA KATIKA RIPOTI YA CAG HALMASHAURI YA MBOZI

    June 10, 2025
  • RC CHONGOLO APIONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE KWA KUPATA HATI SAFI

    June 10, 2025
  • SERIKALI YA SAINI MRADI WA ZAIDI YA BILIONI 119.9 UJENZI WA MRADI WA MAJI TUNDUMA VWAWA

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

ELIMU KWA WATOTO KIPINDI CHA CORONA
Video za Ziada

Kurasa za Karibu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • SALARY SLIP PORTAL
  • AJIRA

Kurasa Mashuhuri

  • IKULU
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE

    Simu: 025 2580305

    Simu ya Kiganjani: 025 2580305

    Barua pepe: ras@songwe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.