Mkuu wa mkoa wa Songwe Mhe Dkt Francis K Michael Amefungua rasmi mafunzo ya mfumo wa utambulizi, usajil na utoaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogondogo (WBN-MIS) ambapo mafunzo hayo yametolewa katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Maafisa maendeleo ya jamii, Biashara na Tehama kwa ngazi ya mkoa na Ngazi ya Halmashauri wameshiriki mafunzo hayo.
|
|
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.