Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (MCC) akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Riziki Kingwande (MNEC) wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe kwaajili ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa wa Songwe.
Mwenyekiti Chatanda amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Songwe na Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt Francis K. Michael, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe, Radwell Mwampashi.
2 Nselewa Mkoani RD, 54180 Mlowo-Mbozi
Anuani ya Posta: P.O.BOX 23 SONGWE
Simu: 025 2580305
Simu ya Kiganjani: 025 2580305
Barua pepe: ras@songwe.go.tz
Hakimiliki©2020 Mkoa wa Songwe.Haki Zote Zimehifadhiwa.