Posted on: May 7th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewataka wadau kwa kushirikiana na serikali waendelee kutoa msaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwani bado wengi hawajafikiwa.
...
Posted on: May 6th, 2020
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje walio tumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shilingi milioni 22.083 wametakiwa kuzirudisha ndani ya siku tatu huku Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rush...
Posted on: April 30th, 2020
Uongozi wa machifu Mkoani Songwe umeipongeza serikali kwa kutambua na kuruhusu matumizi ya Tiba za Asili kama vile kujifukiza huku ukiahidi kusimamia matumizi sahihi ya tiba hizo hususani katika kupam...